Showing posts with label Ugali maharage kwa mboga majani na samaki. Show all posts
Showing posts with label Ugali maharage kwa mboga majani na samaki. Show all posts
Monday, March 2, 2015
JUMATATU HII YA KWANZA TUANZE NA KUKARIBISHANA CHAKULA CHA MCHANA ...
Ni chakaula ambacho akipendacho sana Kapulya/dada mkuu...ni ugali samaki, maharagwe, na mbogamboga...KARIBUNI TUJUMUIKE:-
Friday, March 28, 2014
MMMHHH! NINGEPENDA MLO HUU UWE MLO WANGU WA MCHANA WA LEO LAKINI....
.......duh kumbe ni ndoto tu ..kwanza unga sina...nimemaliza, pila mboga nilizoweka akiba zote nimemaliza yaani kutoka kwenye bustani yangu. Ila muda si mwingi nitaanza kulima tena kwa sasa nimewatika/atika. Ila mmmhhh mate yananitoka hapa...maana huyo samaki eeeehh bwana weee ngoja niache...NGOJA TU NIWATAKIENI MWISHO WA JUMA MWEMA.
Subscribe to:
Posts (Atom)