Showing posts with label Mwonekano mpya wa picha ya kapulya. Show all posts
Showing posts with label Mwonekano mpya wa picha ya kapulya. Show all posts

Monday, August 22, 2016

WIKI MPYA,JUMATATU MPYA NA CHANGAMOTO MPYA...MWONEKAN MPYA WA PICHA YA KAPULYA WENU:-)

Kwanza ilikuwa hivi ....



Baadaye dada yangu Mariam akaona juna vitu vinakosekana  kama uonavyo  alivyoorodhesha katika picha....
Miaka imepita na jana ndipo nilipotumiwa hii picha kwa mfano huu. Hakika sikuitambua kabisa. Na bado sijitambui  maana hiyo si tabia yangu...Je wewe msomaji unauonaje huu mfano wa hii picha ya Kapulya ya mwisho?