Showing posts with label ugali kupika kujifunza. Show all posts
Showing posts with label ugali kupika kujifunza. Show all posts

Monday, July 23, 2012

PICHA YA MWEZI:- KUJIFUNZA MAPISHI (KUJIPIKILISHA)!!

Picha hii inanikumbusha mbali sana, jinsi ya kujifunza kupika MAPISHI. Eee bwana weee basi hapo ndiyo hapo hapo pa  kujifunza maisha baba na mama...Je wewe msomaji uliwahi kucheza mchezo huu?.

Monday, March 23, 2009

KUJIFUNZA KUPIKA UGALI+KUJITEGEMEA+KUMSAIDIA MAMA



Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hapo mnaona jinsi anavyojitahidi kuusonga huo ugali ni mara yake ya kwanza. Jinsi ya kujitegemea hapo baadaye haitakuwa vigumu.