Wakina mama wa Kitanzania wakiwa na vazi la Khanga,kwa mfano kama tukipendekeza vazi la taifa liwe khanga hivi kuna ubaya?
Showing posts with label vazi. Show all posts
Showing posts with label vazi. Show all posts
Wednesday, May 10, 2017
KWANINI KHANGA LISIWE VAZI LA TAIFA TANZANIA?
Wakina mama wa Kitanzania wakiwa na vazi la Khanga,kwa mfano kama tukipendekeza vazi la taifa liwe khanga hivi kuna ubaya?
Tuesday, April 28, 2015
Tuesday, March 18, 2014
KAPULYA NDANI YA NYEUPE NYEUPE..KUMBE NYEUPE NAYO NZURI!!!
Hapa ilikuwa 2011
Hapa 2013
Na hapa ni 2014 ingawa sketi si nyeupe ila inaelekea huko huko...Kwa kawaida nilikuwa si mpenzi sana wa rangi nyeupe zaidi ya nilipåokuwa shule ya msingi, yaani kuvaa shati nyeupe. Na pia ile ndoto yangu ya kuwa sista maana ningekuwa navaa. Ila sasa ....kama watu wasemavyo mtu hubadilika napenda nyeupe ila sana sana nyeusi na kijani:-).....SWALI:- Je wewe una rangi ambayo unaipenda sana kupita zote?
Friday, November 8, 2013
SARESARE MAUA....IJUMAA NJEMA KWA WOTE
Nimependa sana vazi hili
Kwa hiyo katika pita pita kwenye maduka nikaona hii blauzi(tunika) nikanunua ila nimeipenda zaidi ya huyu dada hapo juu. Mimi nimenunu indiska, mpiga picha kaka Erik:-).NAWATAKIENI WOTE MWISHO MWEMA WA WIKI HII....IJUMAA IWE NJEMA KWA WOTE.
Wednesday, May 9, 2012
JIONI NJEMA NA :-WANAWAKE WA SHOKA/ WANAWAKE NA VILEMBA ("WRAPS")
Dada Mija wa http://damija.blogspot.se.
Mama Ana Tibaijuka.
Na Winnie Mandela, aliyekuwa mke wa Mstaafu Rais Nelson Mandela.
JIONI NJEMA!!!
lebo:
afrika,
mwanamke wa shoka,
vazi,
wanawake urembo
Thursday, October 13, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)







