Showing posts with label blog mpya ya da´Mija. Show all posts
Showing posts with label blog mpya ya da´Mija. Show all posts

Saturday, June 29, 2013

TUMKARIBISHE DA´MIJA NA BLOG YAKE MPYA MIJA HAUTE COUTURE...

Na hapa ni moja ya kazi za mikono yake da´Mija ni heleni za kanga..kwa kutaka kuja zaidi kazi zake gonga HAPA. Binafsi nakukaribisha kwa mikono miwili na pia nasema HONGERA SANA.