Showing posts with label kabila la hadza kaskazini ya kati ya tanzanzia. Show all posts
Showing posts with label kabila la hadza kaskazini ya kati ya tanzanzia. Show all posts

Wednesday, June 11, 2014

TANZANIA INA MAKABILA MENGI SANA NA LEO NIMEONA TUUNGANE NA NDUGU ZETU WAHADZABE AMBAO WANAISHI KASKAZINI YA KATI YA TANZANIA

Najivuna sana kuwa mTANZANIA/MWAFRIKA... ebu angalia hapa furaha teleeee HAKUNA KULALA HATA KAMA HUJALA....MMMHH MARA nikaona wanaimba  nikaona niweke hapa pia hata kama sielewi nini wanaimba....ebu sikiliza na wewe.:-)


na hapa hakuna ngoma wala nini  yaani mpaka raha nimekumbuka mbali sana. Kama nilivyosema hapo juu ni kwamba Wahadzabe wanaishi kaskazini mwa Tanzania karibu na ziwa Eyasi jirani na Serengeti. Kabila hili idadi yao haizidi 1000... Na kati ya 300-400 huishi kwa kutegemea uwindaji.