Showing posts with label yasinta na mikanda. Show all posts
Showing posts with label yasinta na mikanda. Show all posts

Monday, April 14, 2014

TUANZE WIKI NA MDADA HUYU NA MIKANDA YAKE /HILI LILIKUWA VAZI LANGU LA JANA JUMAPILI !!

Kwa kukumbuka vizuri ebu fungua hapa kuona huyu mdada/kapulya anayopenda mikando tangu enzi hizo za ujana wake:-) http://ruhuwiko.blogspot.se/2013/02/mwanadada-na-mikanda-yakemwanamtindo-wa.htmlKama umeangalia vizuri katika hiyo picha ya juu ...Je? Umegundua kitu gani kinakosekana?
NAWATAKIENI MWANZO MWEMA WA JUMA/JUMATATU