Sunday, January 14, 2024

NAPENDA KUWATAKIENI KHERI SANA YA MWAKA MPYA 2024

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutulinda sisi wote kwa kuona Mwaka 2024. Wengi walitamani kuona lakini haikuwa bahati kwao.Binafsi mimi na familia yangu tu- wazima wa afya njema na ninaamini hata wewe usomaye hapa utakuwa mzima wa afya na wanaokuzunguka. Kwa hiyo basinachukua nafasi hii kuwatakieni wote mtakaopita hapa AMANI NA FURAHA VITAWALE MIONYONI MWENU . Tutaonana tena karibuni// mama Maisha na Mafanikio/ Kapulya

1 comment:

Euro Palace said...

Thank you for making learning an enjoyable experience.