Hapa ni kaeneo ambako huwa nalima bustani za mbogamboga za aina mbalimbali. Na jana Jumanne ya 28/5-12 ndio nimepanda . nimepanda Corrot, maharagwe, mchicha, maboga, figiri, vitunguu, nyanya, nk. Kutokana na hali ya hewa kuwa si nzuri sana mwaka huu inasemekana nimechelewa kidogo....Ila baada ya wiki chacha nategemea mimea itakuwa imeanza kuota...au kuwa kama ...
...katika bustani hii hapa . Majibu tutayapanda karibuni. Hii ndiyo moja ya shuguli nilizozifanya jana. PAMOJA DAIMA SANA!!!

