Showing posts with label homa. Show all posts
Showing posts with label homa. Show all posts
Monday, June 4, 2012
AU LABDA TUENDELEE JUMATATU HII KIHIVI NA HUYU DADA MREMBO AMBAYE NI KIKOJOZI....
Ni tatizo ambalo huwezi kulitolea ufafanuzi na pia huwezi kulitegemea linapotokea kwa mtu wa makamo, lakini ni tatizo kubwa na lipo ndani ya jamii zetu zinazotuzunguka, matokeo yaker ni aibu, fedheha na karaha....
Nilipoangalia hii nikakumbuka jirani yangu mmoja kila ukienda nyumbani kwake kulikuwa na harufu kali kweli ya mkojo. Naye alikuwa anasema ni watoto wanakojoa sana. Kukojoa kitandani inasemekana ni homa lakini wengi wanafikiri wanaokojoa wanafanya makusudi.
Monday, October 17, 2011
LEO KAPULYA AMEPATIKANA /MWILI UNAPOSHINDWA KUVUMILIA!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)