Showing posts with label chakula nikipendacho. Show all posts
Showing posts with label chakula nikipendacho. Show all posts
Tuesday, August 15, 2017
KAPULYA WENU AMETAMANI MLO HUU LEO
Hakika asiyetamani mlo huu mmmhhh yaani nimeamka leo hii nikiwa na hamu sanaya mlo kama huu .....ngoja nifanye mpango. Au nile kwa macho tu:-)
Monday, January 18, 2016
NI SIKU NA WIKI MPYA NA TUANZE NA MLO HUU...CHAGUO LAKO TU HAPA....
Mahindi ya kupikwa/kuchemshwa na uji au....
.....ya kuchoma. Binafsi hupenfda sana mahindi ya kupika/kuchemshwa hasa yakiwa yamechemshwa na maboga. Haya tufurahie mlo huu pamoja....Kapulya wenu
Subscribe to:
Posts (Atom)


