Showing posts with label mchezo wa netiboli. Show all posts
Showing posts with label mchezo wa netiboli. Show all posts

Thursday, November 10, 2016

MICHEZO:NETIBOLI NI MCHEZO NILIOKUWA NIKIUPENDA SANA

Ukitaka mpira ni lazima uutafuta mie nafasi yangu ilikuwa kama huyo mwenye sketi nyeusi...kwa hiyo hapa mchezo mzima upo mikanoni mwako... 
 Kwa hiyo hapa mzuiaji inabidi afanya kazi sana ila kwa hapa naona itakuwa kazi rahisi kwa vile ni mrefu...Netiboli ni mchezo mzuri, kwana kwa afya na pia kwa mazoezi ....na mwisho inabidi uwe mwepesi kukimbikia:-)  Ila mmmhhhh siku hizi  kukimbia ....