Showing posts with label Utamaduni wa asili. Show all posts
Showing posts with label Utamaduni wa asili. Show all posts

Monday, August 13, 2018

NAWATAKIENI JIONI NJEMA YA JUMATATU HII KWA KUANGALIA NGOMA YA ASILI YA KINGONI

UJUMBE WA LEO:- Tusisahau utamaduni wetu ndugu zanguni, binafsi napenda sana uasili.JIONI NJEMA WANDUGU. PANAPO MAJALIWA TUTAONANA TENA.