Tuesday, August 30, 2016

KARIBUNI TUJUMUIKE KATIKA MLO HUU AUPENDAO KAPULYA......

 Mlo ni ni kachumbali, safu ya kwanza kwenye hicho chombo cha bluu karibu na kachumbali ni mihogo,katikati ni viazi vitabu na mwisho ni ndizi....
.....na hapa ni sahani yangu ilivyojazwa na cha kuteremshia   ni kinywaji cha uhai  si kingine ni MAJI

8 comments:

Anonymous said...

Asante sana nimekarobia kwa macho tu. Je umevipata wapi? Naona uko tz kiaina aina. Karibu Tz sana.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu usiye na jina...pole kwa kula kwa macho. Hahaaa sio nipo kiani nipo hasa. ..

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Akina mama hupenda mihogo na ndizi. Kula tu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka muhango...kwani akina baba hawapendi mihogo na ndizi?...kula tu...

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Hili dada yangu sijibu. Niongeze tu kuwa akina mama hupenda pia miwa. Akina baba hupenda maparachichi, madafu hasa ya kunywa kwa mrija, na vinginevyo ambavyo ni laini.

Yasinta Ngonyani said...

Hahaaaa.kaka yangu umenipa mtihani...

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Ukiushinda nakutumia chamaki nchanga dada yangu.

Yasinta Ngonyani said...

Ila kakangu huu ni mtihani mkubwa sana angalao ungeniambia ni wanaume na wanawake wa wapi wanapenda kula matunda hayo...au wa aina gani?