Nimeiangalia hii picha sana na nikaanza kuwaza nilipokuwa msichana mdogo na kapu la mihogo kichwani huku jua kali lawaka na miguu ya ungua kwa juu kali.-:) Naishia kusema ama kweli tumetoka mbali. Ila hapa inabidi pikipiki hii iende mwendo mdogo sana maana bila hivyohuyo mama ataanguka...
No comments:
Post a Comment