Saturday, August 22, 2009

KUANZA KWA MWEZI MTUKUFU WA MFUNGO WA RAMADHANI

Napenda kuwatakia ramadhani njema waislamu wote duniani!!!

6 comments:

Nicky Mwangoka said...

Asante kwa makaribisho, naona unatoa support ya nguvu,Hiyo ndo Hijabu au,Yasinta na wewe!!!!

Mzee wa Changamoto said...

Ramadhani ikiwa njema kwa wale waitimizao (sote waIslamu, waKristo, waHindu, waYahudi na wengine) ina maana ULIMWENGU MZIMA UTAKUWA MWEMA. Tukizingatia yafundishwayo katika mwezi huu mtukufu (ambayo hayana mipaka ya kidini) tutatambua kuwa ndivyo tunavyotakiwa kuishi miaka yote na nyakati zote.
Kama ulimwengu ungeamua kuufanya mwezi huu uanzao sasa kuwa wa mabadiliko, ama kuamua kufanya haya mema yafundishwayo katika miezi mitukufu kama hii kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, TUSINGELIA TULIAVYO KWA MATUSI, KEJELI, WIZI, UBAKAJI, UFISADI, MAUAJI, VITA, MATABAKA, MAKABILA, RUSHWA nk.
RAMADHANI NJEMA KWA ULIMWENGU MZIMA

Born 2 Suffer said...

Asante kwa pongezi na umependeza sana kila lakheri.

Yasinta Ngonyani said...

Nicky! karibu sana na ndio hii ndiyo hijabu yangu ila sijajua ipi ni nzuri zaidi....LOL

Mzee wa Changamoto! ni kweli kabisa usemayo.

Born 2 Suffer! kwa kuzipokea pongezi nami nazipokea pongezi zake Ahsante.

Israel Saria said...

Nimeipenda hiyo ya kijani...

Anonymous said...

Mlongo mi tena sikuwezi, ni wazo zuri kutakiana heri, ubarikiwe pia wewe mwenyewe na familia yako.