Friday, May 1, 2009

RUHUWIKO 2009 KUTIA MBOLEA KWENYE SHAMBA LA MAHINDI

Niwapo nyumbani huwa nafurahia sana maisha haya ya kujishughulisha na shughuli ambazo nilifanya nilipokuwa mdogo. Nadhani hapo mnaweza kujua huyo mwingine ni nani naye anajitahidi kujifunza mila na desturi.

7 comments:

Albert Kissima said...

Huu msimu ulikuwa ni wa kiangazi au ni masika iliyokuwa na upungufu wa mvua?

Yasinta Ngonyani said...

KIssima kakangu; hapa ilikuwa ni mwezi wa pili na mvua ilikuwa adimu kidogo nadhani unakumbuka.

Fadhy Mtanga said...

Kazi kweli kweli!
Hayo mahindi mtani bila shaka sasa yameshakomaa mwenyewe hupo. Nielekeze huko nikavunje maana napenda ya kuchoma ama kande za mahindi mabichi na maharage mabichi ama njegere mbichi.

Yasinta Ngonyani said...

ha ha ha haaaa. Nilijua mtani utasema hivyo kwani we Ngande ndo wenyewe. mazebele haya Nenda tu ukavune

Koero Mkundi said...

Je huyo pembeni yako ni Camila?

Yasinta Ngonyani said...

Koero, umepata kabisa ni Camilla. Ehe karibu tena mdogo wangu nimekumiss kweli

Mzee wa Changamoto said...

Mama na mwana hao!!!!!!!!!!!!
Safi saaana