Saturday, November 15, 2008

TRACY CHAPMAN NA YASINTA NGONYANI



Je? mwasomaji mnakubaliana na watu wengine wanasema sisi tumefanana. Asiyewahi kusikiliza mziki wake basi sikiliza mimi nampenda huwa namsikiliza.

3 comments:

Anonymous said...

labda mnafanana kigogo.

MARKUS MPANGALA said...

sijui kwani huyo napiga muziki wa KWAITO kama MZEKEZEKE, MANDOZA,MZAMBIYA, THANDISWA MADZWAI???? ha ha ha we acha huniondoi kwenye KWAITO, sikiliza ile santuri ya MNDOZA ya NKALAKATHA uone mambozi na mavituzi.
lakini duniani wawili yawezekana hongereni sana

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli duniani wawilix2 ila mwanzangu ni kweli mwanamziki na mimi mnywa chai bila sukari. kazi kweli kweli