Friday, November 28, 2008

HOSPITALI YA PERAMIHO


Ukipatwa na homa njoo hapa utapata matibabu mazuri tu. Pia nipo hapa uliza tu.

5 comments:

Anonymous said...

kuchiperamiho jamani kunyumba unikumbusi kutali kweli. asanti dada Yasinta.

Yasinta Ngonyani said...

asante usiye na jina kwa maoni yako.

Pia napenda kumshukukuru kaka Simon kwa kunikumbusha kuhusu Peramiho. Asante sana Simon,binafsi pia nimekumbuka sana Peramiho (chiperamihu) kunyumba kazi kweli kweli

Simon Kitururu said...

@Yasinta: Asante kwa hii!Huko kwenu ingawa ni miaka kibao sijafika kuna mengi nilianzia huko. Kuanzia shule ya msingi , kujistukia napenda mademu mpaka , kuendesha baiskeli pamoja na kupigwa kwa mara ya kwanza katika ngumi , ingawa nilisingizia jamaa kaniingiza pilipili machoni ndio maana nimevimba sura:-)
Unanikumbusha mbali sana hapa kijiweni!Kwa mara nyingine Asante!

MARKUS MPANGALA said...

nyumbani ni nyumbani hata kama kichakani. Mwee Peramiho wengi tuliota kusoam seminari lakini wapi mademu kibao starehe nyingi, halafu nivae makanzu ha ha ha ha mmm nina imani msije mkanisuta hee. ila poa sana pale kuna mademu wanasoma mambo ya utabibu pale ni noma ndiyo maana waseminari wengi huanguka ebwaae mahaba ni nini?

Unknown said...

The Peramiho hospital is now facing so many challenges in providing it's services. It is better to review services provided this institute, otherwise the history of this hospital will lost!