Monday, November 17, 2008

DUBU (Bear)




Kama mnavyooona hapa hii picha nimepiga mwenyewe kwani hapa ilikuwa karibu na siku zangu za mwisho. Nilikuwa mstuni natafuta uyoga, uroho wa uyoga. Lakini naona siku zangu zilikuwa bado.

4 comments:

Unknown said...

Dada Yasinta,

Tafadhari sana kuwa makini na huo uyoga wako kwani Eric na Camiila bado wanakuhitaji sana huo jamaa yupo smart mbio na kupanda miti balaa bahati yako na yeye hakuwa na watoto wake maana tungeongea mengine.

Yasinta Ngonyani said...

Asante kwa kunifahamisha, ingawa umechelewa inaonekana Mungu bado ananipenda sana. Na pia asante nitakuwa makini siku nyingine

Yasinta Ngonyani said...
This comment has been removed by the author.
jasonbob said...

yeezy boost 350
hermes
curry
nike sb dunk low
yeezy
kobe shoes
paul george shoes
canada goose outlet
off-white