Napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa kunilinda mimi na familia yangu katika safari hii ndefu. Tumefika salama mpaka hapa Dar, safari bado inaendelea. Yaani mpaka Songea kama mnavyojua natoka Songea mngoni. Raha sana kuwa nyumbani joto, watu wachangamfu halafu nyumbani ni nyumbani. Leo sisemi kazi kweli kweli ila nasema raha kwelikweli.
Kwa hiyo napenda kuchukua nafasi hii kwa kuwatakieni wootee HERI SANA KWA MWAKA MPYA 2009. Ila mimi nafaidi zaidi kwa wale wote waliokuwa kwenye nchi za baridi. Ha, ha, haaaaa.
13 comments:
Karibu sana nyumbani. Pia heri ya Mwaka Mpya wa 2009
Asante sana Fadhy, ila joto kali kweli naoga kama samaki.
Faidi tu Dada. Una haki maana umejifunga kibwebwe kufanikisha safari yako.
Baki salama pamoja na wote huko.
Upendo kwenu
salam from khudori. you can read my post by Google translate in my site
Heriya mwaka mpya pia..
usichoke kublog natumaini utatuleta picha za kitonga..
usafiri salama na mfike salama..
heri ya mwaka mpya
Dada Yasinta, Karibu sana Nyumbani na ninakutakia heri ya mwaka mpya wewe na familia yako.
Duu ilikuwa RAHA sana pale mahali au vipi dada Yasinta!!! lakini nashukuru umerejea nyumbani kula dagaa, nilifurahi kukutana na kubadilishana mawazo ya blogu au vipi mkuu! salamu kwa wotee.
Dada yangu Yasinta karibu nyumbani suala la joto kama ulivyosema nyumbani ni nyumbani tunakukaribisha kwelikweli.
Umeonaje mabadiliko ya Tz watu walivyowakarimu? ni hayo tu dada yangu mengi tutahabarishana natumai tuko pamoja na Mungu aendelee kukujaria wewe na familia yako.
Safari njema. Tafadhali tuletee picha nyingi sana za kunyumba.
Safari Njema Dada Yasinta!
Karibu sana Yasinta. Ila muhimu, usiache kublogu tafadhali.
Ushuhuda
Nilivunjika moyo kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli kwamba nilikuwa nimepoteza mpenzi wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dkt. Dawn, na kila kitu kikabadilika.
Kwa wema, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alirudisha upendo niliodhani ulikuwa umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dkt. Dawn aligeuza machozi yangu kuwa furaha kweli.
Dkt. Dawn Anaweza Kukusaidia Kwa:
✅ Uchawi wa Mapenzi
✅ Uchawi wa Mimba
✅ Kurejesha Ndoa / Uhusiano
✅ Tiba za Mimea kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Matatizo ya Moyo, Maambukizi, na zaidi
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dkt. Dawn anaweza kurudisha furaha maishani mwako!
Nilikuwa nikikabiliwa na mapambano mengi maishani mwangu, nikiwa nimezungukwa na nguvu mbaya na bila msaada kutoka kwa mtu yeyote. Kisha nikakutana na Dkt. Dawn, ambaye alinitambulisha kwa Illuminati. Baada ya kuanzishwa kwangu, nilipokea bonasi ya kukaribishwa ya $300,000, na tangu wakati huo, nimeendelea kupokea baraka zaidi.
Leo, mimi ni tajiri kweli na ninamshukuru Dkt. Dawn kwa kubadilisha maisha yangu.
Ikiwa kuna mtu yeyote hapa ana nia ya kujiunga na Illuminati, unaweza kuwasiliana na Dkt. Dawn kwa ajili ya kuanzishwa haraka na kwa kweli — hakuna dhabihu ya kibinadamu inayohusika.
WhatsApp: [ +2349046229159 ]
Post a Comment