Monday, December 29, 2008

TANGAZO AU NISEME MSAADA WA GARI LA KUKODISHA TAFADHALINI JAMANI

Mwenzenu nimekwama nahitaji msaada wa gari kwa bei nafuu PLEASE nitumie mail kama unajua kuna mtu au wewe mwenyewe una gari ambalo mimi na familia yangu tunaweza kukodi Tafadhalini nisaidieni. Tunahitaji gari toka Dar kwenda songea na tutakaa Songea kwa muda wa miezi miwili na baada ya hapa kuliacha dar tena.

6 comments:

Anonymous said...

ufafanuzi tafadhari, upo wapi? songea au Dar? unahitaji kwenda sehemu gani? maana aina ya gari inategemea na uelekeo unaotaka kwenda. otherwise nenda kwenye email nimejaribu kukupa jibu!!

Unknown said...

wasiliana na huyu bwana anitwa Lusenga, niliwahi kutumia gari lake kwenda Iringa wakati fulani na bei yake ni maelewano.
mtwangie kwa namba hii hapa chini yuko Dar Es Salaam. +255 0713 227363.

mwambie ni mimi nimekupa namba yake. kama ukikwama wasiliana na mimi kwa namba yangu kwenye blog ili niweze kukusaidia zaidi.

Koero Mkundi said...

He! Dada miezi miwili unafanya nini Songea?
Hebu Jaribu haya makampuni ya Rent Car.

Anonymous said...

duh!yaani ukae nje miaka kibao kisha likizo yako yote ukaimalizie songea????wakati sikuhizi bongo kuna sehemu kibao nzuri za kwenda kutembea likizo nakushauri songea ungeenda japo week2 tu zinatosha sana hizo.anyway ukija sweden nitakutafuta mimi nipo malmo wewe mji gani?janetjesse51@yahoo.com

Anonymous said...

Ushuhuda

Nilivunjika moyo kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli kwamba nilikuwa nimepoteza mpenzi wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dkt. Dawn, na kila kitu kikabadilika.
Kwa wema, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alirudisha upendo niliodhani ulikuwa umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dkt. Dawn aligeuza machozi yangu kuwa furaha kweli.

Dkt. Dawn Anaweza Kukusaidia Kwa:

✅ Uchawi wa Mapenzi
✅ Uchawi wa Mimba
✅ Kurejesha Ndoa / Uhusiano
✅ Tiba za Mimea kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Matatizo ya Moyo, Maambukizi, na zaidi

📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159

Usiteseke kimya kimya. Dkt. Dawn anaweza kurudisha furaha maishani mwako!

Anonymous said...

Nilikuwa nikikabiliwa na mapambano mengi maishani mwangu, nikiwa nimezungukwa na nguvu mbaya na bila msaada kutoka kwa mtu yeyote. Kisha nikakutana na Dkt. Dawn, ambaye alinitambulisha kwa Illuminati. Baada ya kuanzishwa kwangu, nilipokea bonasi ya kukaribishwa ya $300,000, na tangu wakati huo, nimeendelea kupokea baraka zaidi.

Leo, mimi ni tajiri kweli na ninamshukuru Dkt. Dawn kwa kubadilisha maisha yangu.

Ikiwa kuna mtu yeyote hapa ana nia ya kujiunga na Illuminati, unaweza kuwasiliana na Dkt. Dawn kwa ajili ya kuanzishwa haraka na kwa kweli — hakuna dhabihu ya kibinadamu inayohusika.

WhatsApp: [ +2349046229159 ]