Du, sio mchezo, umenikumbusha mbali sana hapo, siku ya kutabaruku hilo kanisa, ilikuwa ni kasheshe, kila mtu katika ukanda wa kusini alipenda awepo na aingiea ndani, basi tulisukumana sana mlangoni, ile siku naikumbuka sana, ningekuwa karibu na box langu la picha, ningekutumia picha zaidi za siku ya kutabaruku (ufunguzi wa hilo kanisa) hapo mwaka 1997.
Ni vema tukamwa tunataja majina yetu ili tufahamiane, Si unajua hii ni blog ya jamii, inayofundisha na kuburudisha kwa makala, mashairi na viazi vitamu? Tunaomba ujitambulishe ili tufahamiane. karibu ujitambulishe!!!!!
hivi kwa nini makanisa hujengwa yakiwa makubwa na marefu na kuwekewa vitu vya kutisha kama kengere n.k? kwa nini kukarbia padre lazima unyenyekee na wakati mwingine kupiga magoti mpaka chini? lakini mbona kuna mapadre wenye virusi vya ukkimwi japo ni watakatifu na hawaoi? asiyeogopa dhambi na anijibu, aaamen
kwa ndugu yangu Shabani kaluse. kutaja jina ni upenzi wa mtu, ndio maana hata unapotaka kupost comment yako kuna options, na mojawapo ni "anonymous", hivyo mimi napenda sana kuitumia hiyo kwani sioni kama ni vibaya pia. ila ikiondolewa basi sitakuwa na uchaguzi zaidi ya au kutaja jina au kuacha kuweka comments. Asante kwa kunielewa.
13 comments:
ANZA KUSEMA WEWE KWANZA!!!!!!!!!!
Shabani! kwanza unapoangalia hapo, hilo kanisa unaona nini? mimi naona uzuri na nadhani mkoa wa Ruvuma una makanisa mazuri sana au?
Ok, Ok Ok!! Safi sana. Endelea kukumbuka na kutukumbusha nyumbani. Asante kwa hilo Yasinta
http://hinten.blogspot.com/
ni kanisa zuri kweli kweli. tungehitaji jambo moja zaidi, litusaidie kuyatakasa matendo ya viongozi wetu. ni hayo tu! ama nimechemsha?
Du, sio mchezo, umenikumbusha mbali sana hapo, siku ya kutabaruku hilo kanisa, ilikuwa ni kasheshe, kila mtu katika ukanda wa kusini alipenda awepo na aingiea ndani, basi tulisukumana sana mlangoni, ile siku naikumbuka sana, ningekuwa karibu na box langu la picha, ningekutumia picha zaidi za siku ya kutabaruku (ufunguzi wa hilo kanisa) hapo mwaka 1997.
ni mimi nisiyependa kutaja jina.
Ni vema tukamwa tunataja majina yetu ili tufahamiane,
Si unajua hii ni blog ya jamii, inayofundisha na kuburudisha kwa makala, mashairi na viazi vitamu?
Tunaomba ujitambulishe ili tufahamiane.
karibu ujitambulishe!!!!!
hivi kwa nini makanisa hujengwa yakiwa makubwa na marefu na kuwekewa vitu vya kutisha kama kengere n.k? kwa nini kukarbia padre lazima unyenyekee na wakati mwingine kupiga magoti mpaka chini? lakini mbona kuna mapadre wenye virusi vya ukkimwi japo ni watakatifu na hawaoi? asiyeogopa dhambi na anijibu, aaamen
kwa ndugu yangu Shabani kaluse. kutaja jina ni upenzi wa mtu, ndio maana hata unapotaka kupost comment yako kuna options, na mojawapo ni "anonymous", hivyo mimi napenda sana kuitumia hiyo kwani sioni kama ni vibaya pia. ila ikiondolewa basi sitakuwa na uchaguzi zaidi ya au kutaja jina au kuacha kuweka comments.
Asante kwa kunielewa.
Shabani yafaa tumwambie ndugu yetu kuwa mvinyo mzuri hauhitaji kichaka, au kunywa ukiwa umejificha. Si tunajua wanywa gongo wanavyojificha. Kuna jambo analificha ndugu huyu. na analijua mwenyewe.
i like this information
Lich Van Nien 365
Xem Lich Am hom Nay
Xem ngay tot xau
Tu Vi Hang Ngay
Xem tuoi lam nha
Thuoc lo ban online
xem boi bai hom nay
12 cung hoang dao tu vi hang ngay
Xem tuoi vo chong
xem boi ngay sinh
good bye
yeezy boost 350
hermes
curry
nike sb dunk low
yeezy
kobe shoes
paul george shoes
canada goose outlet
off-white
Post a Comment