Monday, August 5, 2013

TUANZE JUMATATU HII KWA WIMBO HUU YASINTA!!!

KIJANA WANGU KANIONYESHA WIMBO HUU NIMEONA UWE HAPA KIBARAZANI...NAAWATAKIENI JUMATATU NJEMA SANA.....

5 comments:

ray njau said...

Kitu chochote chenye ladha taamu usisahau kula na familia yako,ndugu zako,marijani na marafiki zako wote lakini kichungu....................!!
Mwanzo mwema wa wiki kwako mama wa maisha na mafanikio na wadau wote wa kibarazani.Asalaam aleykum!!

Emmanuel Mhagama said...

Siyo mshabiki sana wa nyimbo za bongo flava. Hata hivyo naamini na ninafahamu kwamba zipo nyingi za bongo flava zenye ujumbe wenye kuifaa jamii yetu ya sasa; huu ukiwa mmojawapo. Uhusioano ni jambo la makakubaliano kati ya watu wawili. Kila mmoja unayo haki kusema ndiyo au hapana kulingana na matakwa ya nafsi yake. Inakuwa si vyema wala si haki kumwambia mtu ndiyo, halafu baadaye baadaye bila maelezo unamtelekeza kama taka zinavyoachwa shimoni. Maandiko yanasema hivi: Na kama mnavyotaka watu wawatendee ninyi, watendeeni hivyo hivyo (Luka 6:31).
Ila dadangu Yasinta kwenye wimbo huu jina lako limekuwa kama mbuzi wa kafara tu. Ingekuwa amri yangu ningewaambia watafute jina jingine la kutumia kwenye wimbo huu.
Siku njema kwenu wapitaji wa mtaa huu.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Yasintaaaaaa!!!! haya....kamwimbo kametulia sana!

Anonymous said...

Yasinta juu sana. Haya mabodaboda hayafui dafu! By Salumu. Ramadhani/Idd njema kwa wote.

Rachel Siwa said...

Hahaha Hahaha kipikipikiiii..