Thursday, June 21, 2012

TUMALIZE SIKU HII KWA KUANGALIA:- UREMBO HUU WA KIASILI!!!

Hakuna kiti  nikipendacho kma hizi bangili ....Ebu angalia kwanza rangi zake zilivyokaa kaa ...Hivi ni waMasai tu ndio wanaoweza kutengeneza vitu hivi. Hakika kama ni wao tu nawapa hongera sana kwa kudumisha utamaduni hii mwanana. Ipo kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutupa mikono pia ubunifu. Bado nasikitika bangili yanmgu ilikataka :-) Je wewe pia ni mdhaifu vya vitu kama hivi vya asili?

6 comments:

Mija Shija Sayi said...

Duka la wapi hili Yasinta?

ray njau said...

Yasinta;
Udhaifu ni wako mwenyewe na sisi wenzako ni wapenzi tu wa mambo ya tamaduni zetu!

Yasinta Ngonyani said...

Mija nawe mimi sijui ni duka gani nimepata picha hii mndaoni nikatamani.
Upo sawa kaka Ray.. na labda nimekosea kiswahili ila nilikuwa naamaanisha ni mpenzi sana wa utamaduni tamaduni.

ray njau said...

@Yasinta;
Kiswahili cha kindendeule kinaeleweka na shaka moyoni ondoa!

Interestedtips said...

ZINAVUTIA SANA HIZO BANGILI FULL CALTURE

Yasinta Ngonyani said...

napenda culture tena mno mnoooooo