NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA SANA PIA MWANZO WA KUANZA MAPUMZIKO UWE SALAMA. Najua wiki hii kwa wengi imekuwa na mikikimikiki mingi maana wengi sasa hasa wanafunzi wanaanza likizo (sommar lov) ...Labda nichukue nafasi hii pia kuwatakia wale wote ambao wapo LIKIZO..
1 comment:
Karibuni Tanzania kwenye ardhi ya mlima Kilimanjaro,visiwa vya Zanzibar,mbuga za Serengeti na daraja la biashara na uchumi kwa nchi za maziwa makuu kupitia bandari ya Dar es Salaam.
Post a Comment