Wednesday, June 20, 2012

MAMA NA MWANA!!!!

Mama nisubiri ....picha hii imenikumbusha mbali kweli ....je wewe msomaji umepitia maisha haya??Kama si shughuli hii je ni shughuli gani ulikuwa ukiependa kufanya/saidia?

14 comments:

Interestedtips said...

MIMI SIKUMBUKI UDOGO WANGU KAMA NILIKUWA NAMSAIDIA MAMA HIVI.....MAANA UNAKUTA WATOTO WENGINE KILA ANACHOFANYA MAMA NAYE ANATAKA...SAFI SANA

Yasinta Ngonyani said...

Haya Ester...,mimi nakumbuka nilikuwa kama huyu binti nilipenda sana kuchota maji mpaka nilinunuliwa vindoo vile vindogo /dumla wanaviita kama sijakosea.

emuthree said...

Ni vyema kuwafunza watoto kazi wakiwa wadogo, hii inawajenga akili na mwili. Tusipende kuwadekeza watoto wetu. Tupo pamoja ndugu wangu!

Interestedtips said...

duh...ulikuwa na raha kweli, natamani nikumbuke umri huo nilikuwaje, nikienda home nitaongea na mama anijuze....huwa anacheka kweli niku=imwambia anieleze udogo wangu ulikuwaje

Tunu said...

DOGO KANIFURAHISHA NA KUNIKUMBUSHA ENZI ZANGU MM NILIKUWA NACHOTA MAJI KWENYE BIRIKA NABEBA MKONONI TEHE TEHE TEHE

Rachel Siwa said...

Nilipenda sana kupikapika kwenye Vikopo.Kupanda maua, Mnayakumbuka MAUA YA SAA NNE?

Kuchota Maji sikama nilipenda, lakini ilikuwa njia ya kwenda kucheza huko, Maji yakikatika huwa tunaenda Bondeni Msimbazi.
Huko mtakutana na Marafiki weengi, hapo CHACHAAAA!!!!!

Duhh ngoja niishie hapa.
Asante da'Kadala na Woote.

Wenu KACHIKI.

Unknown said...

Mi nilikuwa napenda kufua ili nichezee maji na mapovu, kwani tulikuwa tunakaa magorofani so ukipata mapovu unweka kwenye bomba la mpapai then you blow the bubbles..... watoto wa siku hizi hawana kwani tunawanunulia yale spesheli haaaa haaa!!!

ray njau said...

Hapa kila mmoja atajieleza awezavyo kwa kuwa kibarazani mazungumzo ni ruksa lakini mlo ni kwenu.Mimi nakumbuka enzi hizo bado maji ya mfereji wa wima hajafika kijijini kwetu tulikwenda kuteka maji kule shokony kwa mzee Salema.

Yasinta Ngonyani said...

Naminimekumbuaka tena kitu kingine nilichOpeenda kufanya KUCHEZA NA KAKA ZANGU NA KUWINDA VINDEGE...

AISHA said...

Hakika leo umenikumbusha mbali.Hiyo kazi miminimeipitia tena ninaamka alfajiri nina beba ndoo kubwa za maji. nanikimaliza ninahakikisha ninafagia uwanja mkubwa, naninakosha vyombo.

ray njau said...

Kila mtu nilipenda,nilipenda,nilipenda na nilipenda na wote tulipenda!