Monday, June 18, 2012

JUMATATU HII TUANZE NA SWALI HILI:- ATLASI KAMA HII BADO ZIPO?

Maana mara nyingi niwapo Peramiho Bookshop huwa nasahau kuangalia na hii nilinunua pale miaka kadhaa iliyopita. Sijui wamebadili mwonekano au? JUMATATU NJEMA!!!!

2 comments:

ray njau said...

Kila zama na waja wake na hizo ni zama za Tanzania Elimu Supplies.Walikuwa na kipindi kule RTD.Sema:TES,Sema tena:TES,sawa sawa kabisa.TES ni shirika la vifaa vya elimu Tanzania.
Leo hii mfumo wa elimu ni huria na bidhaa nyingi zinaagizwa nje na chache hutolewa na wazalishaji wa ndani au wajasiria mali.Wadau wanakaribishwa kubuni vitabu vyenye kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa Tanzania kulingana na mazingira yao.Mimi ninatafuta washirika wa mawazo na ubunifu katika kutayarisha kitabu chenye manufaa na uasilia kwa wanafunzi wa chekechea nchini Tanzania.
SALAMU!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Ray! Ahsante kwa mchango wako...