kwanza nimefurahi hicho chakula kilicho mezani, kinaonyesha kuwa chochote kiendacho mdomoni shurti kiombewepia nina ka experience wengi wetu wakati wa kuanza kula twasali, kikiisha tunasahau kushukuru
Ester! si uwongo ni kweli chochote kiendacho mdomoni na kilicho mezani ni vema kukiombea. Ni kweli wengi tunasali wakati wa kuanza tu tukishashiba basi twasahau kushukuru...Basi tukumbushana au kama tuliaacha tuanze
INABIDI TUANZE KWAKWELI, HADI AIBU KIMOYO MOYO
Kwa uleli inabidi kumshukuru Mungu kwa lolote lile. Aibu ni nzuri maana ukiona aibu utajirekebisha na mambo yatakuwa safi...
ngoja niwaulize nyie wadada. Hivi hata bia au ulanzi kabla hujaanza kunywa unatakiwa usali kwanza?
Kaka John! kila kitu unachoingiza mdomoni/chakula ni lazima ushukuru hata maji...
Post a Comment
6 comments:
kwanza nimefurahi hicho chakula kilicho mezani, kinaonyesha kuwa chochote kiendacho mdomoni shurti kiombewe
pia nina ka experience wengi wetu wakati wa kuanza kula twasali, kikiisha tunasahau kushukuru