Monday, October 15, 2012

NIMEONA TUANZE WIKI/JUMATATU HII KIHIVI!! SIKU NYINGINE NDANI YA AFRIKA!!


MWANZO MWEMA WA WIKI JAMANI/JUMATATU NJEMA

5 comments:

ray njau said...

J3 njema sana!!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ahsante na naamini nwe jumatatu hii umeianza vema na imekuwa njema:-)

ray njau said...

UNAPOTAJA JINA KILIMANJARO KWA HAKIKA UNATAJA TANZANIA KUTOKANA NA UMAARUFU WA MLIMA KILIMANJARO AMBAO NI MAARUFU KULIKO YOTE AFRIKA.NGOMA KUBWA YA ASILI YA WACHAGGA NI IRINGI.IRINGI HUCHEZWA KATIKA MDUARA HUKU WATU WAKIWA WAMESHIKANA MIKONO IKIWA NI ALAMA YA UPENDO NA MSHIKAMANO WA KIFAMILIA.UPO UTANI KUWA ZAMANI NGOMA HIYO ILICHEZWA BILA KUSHIKAMANA MIKONO LAKINI BAADAE WATU WALIJIKUTA MIFUKO YAO MITUPU.WAZEE WA KIMILA WAKAAMUA KUONDOA UTATA KWA KUWEKA AMRI YA KUSHIKANA MIKONO WA KUCHEZA NGOMA HIYO.WACHAGGA WANAISHI KWENYE WILAYA NNE ZA MKOA WA KILIMANJARO AMBAZO NI SIHA;HAI;MOSHI NA ROMBO KWA MPANGILIO UFUATAO:

-----------------------------------

1.WASIHA

2.WAMACHAME [ WILAYA YA SIHA NA HAI]

3.WAMASAMA

-----------------------------------

4.WAKINDI

5.WAKIBOSHO

6.WAURU

7.WAOLDMOSHI

8.WAMBOKOMU [ WILAYA YA MOSHI ]

9.WAKIRUA

10.WAKILEMA

11.WAMARANGU

12.WAMAMBA

13.WAMWIKA

-----------------------------------

14.WAKENI

15.WAMKUU

16.WAMASHATI [ WILAYA YA ROMBO ]

17.WASSERI

18.WANGASA

-----------------------------------

emuthree said...

J3 NA J4 njema tupo pamoja ndugu wangu

ray njau said...

J3 imepita na J4 ipo pamoja nasi.Tuendelee kuwa pamoja kwa fadhili zenye upendo na rehema.