IJUMAA YA LEO NGOJA TUWATEMBELEE NDUGU ZETU WACHAGGA NA NGOMA YAO HII YA JADI/ASILI!!!
Ni ngoma ya kabila la Wachagga kutoka katika Wilaya ya Arusha wakicheza ngoma ya Jadi/asili.....IJUMAA NJEMA NA MWISHO WA JUMA UWE MWEMA KWA WOTE!!!!!!
UNAPOTAJA JINA KILIMANJARO KWA HAKIKA UNATAJA TANZANIA KUTOKANA NA UMAARUFU WA MLIMA KILIMANJARO AMBAO NI MAARUFU KULIKO YOTE AFRIKA.NGOMA KUBWA YA ASILI YA WACHAGGA NI IRINGI.IRINGI HUCHEZWA KATIKA MDUARA HUKU WATU WAKIWA WAMESHIKANA MIKONO IKIWA NI ALAMA YA UPENDO NA MSHIKAMANO WA KIFAMILIA.UPO UTANI KUWA ZAMANI NGOMA HIYO ILICHEZWA BILA KUSHIKAMANA MIKONO LAKINI BAADAE WATU WALIJIKUTA MIFUKO YAO MITUPU.WAZEE WA KIMILA WAKAAMUA KUONDOA UTATA KWA KUWEKA AMRI YA KUSHIKANA MIKONO WA KUCHEZA NGOMA HIYO.WACHAGGA WANAISHI KWENYE WILAYA NNE ZA MKOA WA KILIMANJARO AMBAZO NI SIHA;HAI;MOSHI NA ROMBO KWA MPANGILIO UFUATAO:
Nimeona hii juhudi ya kutafuta ngoma ya Wachagga inapaswa kupongezwa sana. Lakoni sisi Wachagga tunatokea Kilimanjaro Walaya za Rombo,Moshi Vijijini,Siha, Hai na Moshi Mjini kwa kiasi.Watani zetu ni Wapare wanapatikana kwa wingi Wilaya ya Same na Mwanga.Ni kuweka historia/kumbukumbu vizuri.
7 comments:
Nimeipenda ngoma hii ingawa sielewi wanasema nini kwangu hiyo midundo na jinsi ya kucheza ni raha mno...uasili ni mtamu.Wachagga oooyyeeee!!
Wachagga ndiyo sisi!
UNAPOTAJA JINA KILIMANJARO KWA HAKIKA UNATAJA TANZANIA KUTOKANA NA UMAARUFU WA MLIMA KILIMANJARO AMBAO NI MAARUFU KULIKO YOTE AFRIKA.NGOMA KUBWA YA ASILI YA WACHAGGA NI IRINGI.IRINGI HUCHEZWA KATIKA MDUARA HUKU WATU WAKIWA WAMESHIKANA MIKONO IKIWA NI ALAMA YA UPENDO NA MSHIKAMANO WA KIFAMILIA.UPO UTANI KUWA ZAMANI NGOMA HIYO ILICHEZWA BILA KUSHIKAMANA MIKONO LAKINI BAADAE WATU WALIJIKUTA MIFUKO YAO MITUPU.WAZEE WA KIMILA WAKAAMUA KUONDOA UTATA KWA KUWEKA AMRI YA KUSHIKANA MIKONO WA KUCHEZA NGOMA HIYO.WACHAGGA WANAISHI KWENYE WILAYA NNE ZA MKOA WA KILIMANJARO AMBAZO NI SIHA;HAI;MOSHI NA ROMBO KWA MPANGILIO UFUATAO:
-----------------------------------
1.WASIHA
2.WAMACHAME [ WILAYA YA SIHA NA HAI]
3.WAMASAMA
-----------------------------------
4.WAKINDI
5.WAKIBOSHO
6.WAURU
7.WAOLDMOSHI
8.WAMBOKOMU [ WILAYA YA MOSHI ]
9.WAKIRUA
10.WAKILEMA
11.WAMARANGU
12.WAMAMBA
13.WAMWIKA
-----------------------------------
14.WAKENI
15.WAMKUU
16.WAMASHATI [ WILAYA YA ROMBO ]
17.WASSERI
18.WANGASA
Nimeona hii juhudi ya kutafuta ngoma ya Wachagga inapaswa kupongezwa sana.
Lakoni sisi Wachagga tunatokea Kilimanjaro Walaya za Rombo,Moshi Vijijini,Siha, Hai na Moshi Mjini kwa kiasi.Watani zetu ni Wapare wanapatikana kwa wingi Wilaya ya Same na Mwanga.Ni kuweka historia/kumbukumbu vizuri.
Smhn ngoma ya wachaga inaitwaje
Ngoma ya Wachaga"Iringi"Asante sana kiongozi.
Safi kabisa
Post a Comment