Tuesday, July 24, 2012

KUADIMIKA KWA MUDA!!! LIKIZO....

 Mmmmmhh! Ngoja kwanza nikune kichwa naona kama nimeishiwa cha kusema vile..ni hivi ni raha sana kuwa na ndugu marafiki na jamaa...lakini sasa umefika muda wa kuwa pamoja na familia...niwanongóneza ni kwamba nipo Likizo...
Ila nitajitahidi kuwa nanyi pia kinamna ili tusisauliana..ila mmmhhh kuwasahau ndugu si rahisi...hapa naona kama kapulya hana furaha:-( WOTE MNAPENDWA NA TUPO PAMOJA.  MMEONA ZAWADI YANGU YA HUO UTAMADUNI/KIMASAI:-)

14 comments:

Interestedtips said...

likizo njema dada..naamini utakuwa unakuja kutuchungulia huku mara kwa mara...salimia familia

Yasinta Ngonyani said...

Ester wala usikonde ...nipatapo kamuda nitafanya hivyo..AHSANTE:-)

ray njau said...

@Yasinta;
Hii ni hoja binafsi na kuipinga na kukiuka protokali.
Yaliyosema yamesikika,yaliyosikika yameeleweka na yaliyoeleweka yamehifadhiwa hadi wakati ufaao siku zijazo.
Hadi wakati ufaao siku zijazo asante sana na pumzika kwa raha na furaha.

Rachel Siwa said...

Uwe na wakati mwema kadala, MUNGU awenanyi daima!!!

nakuonea wivu mwayego!!!!!

sam mbogo said...

Yaani bonge la mapumziko safi sana kupumzika na familia muhimu. mimi pia kama sitaki vile ijumaa mungu akitujaalia mimi na kijana wangu tuko Bongo Dar naenda kupumzika dar,Tabora ,mpanda. wana blog wa dar nitawatafuta nikifika ila sijuwi kivipi ila nitajuwa tu nitawapata baadhi yenu. haya Da Yasinta faudu likizo!! kaka s

ISSACK CHE JIAH said...

Tunakutakia likizo njema usisahau kutuletea masuku ya kizungu kama huendi ntyangimbole au litumba ndyosi
kaka yako Che Jiah

EDWIN NDAKI (EDO) said...

endelea na mapumziko mazuri maana naonamajira ya kiangazi ndio yaanza kwi kwi maana huku finland unaweza kufikiri summer imeisha maana mvua jua mtindo mmoja jirani..siku njema
tutafika tu

nyahbingi worrior. said...

Huku nyumbani hatupumziki wala kulala.

Amani.

chib said...

Likizo njema!!

batamwa said...

haya mapumziko mema mimi nami nilikuwa likizo bukoba nimerudi dar lakini nikashikwa bonge la homa,ila hilo pambo la kimasai limekutoa kweli safi sana

emuthree said...

Likizo njema ndugu wangu,tupo pamoja

Simon Kitururu said...

Nadeku Picha. Mtoto Mzuri weye!

Shaziry Nambombe said...

HI! DADA ANGU POLE KWA KILA KITU AMBACHO UNAONA KINAKUPA SHIDA NA PONGEZI KWA KILA JAMBO JEMA UNALOLIFANYA NA KULIPATA . NAOMBA UNISAIDIE MAWASILIANO YAKO .

Elizabeth said...

Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.

Mume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.

Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na kufanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi ili kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito ili kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
. kutokuwa na uhakika wa ubaba au ubaba usio na sifa

Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159

Email dawnacuna314@gmail.com