Je umewahi kuona Maajabu haya hapa ni Njombe: Mwamba Wenye Ramani ya Afrika
Mwamba huu wenye ramani ya bara la Afrika unaitwa Lwivala, upo katika pori la hifadhi ya msitu Lwivala kijiji cha Igodivaha Wilaya ya Njombe, inaweza isiwe rahisi kuamini lakini huo ndio ukweli wenyewe. Picha kutoka Mjengwa.
Ndivyo ilivyo, `ataonyeshwa kuwepo kwake katika sehemu mbalimbali,lakini bado tutamkana, kwa dhahiri au kwa matendo yetu wenyewe! Ipi miti imekuwa nakutengeneza jina lake, wapo watoto wamezaliwa kifuani kuna jina la muumba,...watu aaah, eeeh,...kesho kesho kutwa kama hatujui!
7 comments:
hii nimeipenda, kachora mungu mwenyewe
Dada Yasinta hata Upareni kwa bibi Koero upo mwamba kama huo wenye ramani ya TZ!
Kaka Bennet yaani kabisa Mungu mwenyewe kachora hii!!
Koero Nikija itabidi unipeleke huko kwa bibi tukaone hiyo ramani iliyochorwa na Muumba mwenyewe au unasemaje?
Ndio mastaajabu ya dunia hayo
Ndivyo ilivyo, `ataonyeshwa kuwepo kwake katika sehemu mbalimbali,lakini bado tutamkana, kwa dhahiri au kwa matendo yetu wenyewe!
Ipi miti imekuwa nakutengeneza jina lake, wapo watoto wamezaliwa kifuani kuna jina la muumba,...watu aaah, eeeh,...kesho kesho kutwa kama hatujui!
Upaereni hlo eneo linaitwaje? Nikitaka kufika
Upaereni hlo eneo linaitwaje? Nikitaka kufika
Post a Comment