Tuesday, September 14, 2010

Hii nimeipenda sana!!!


Nadhani wote mnajua huyu ni nani na ukiangalia kwa makini utaona anafanya nini na anaangalia nini au labda anasoma . Sijui ilikuaje hapa?

12 comments:

emu-three said...

Hata mimi nimeipenda...!

emu-three said...

Hata mimi nimeipenda...!

Anonymous said...

Yasinta.
Nimezipenda picha zenu "RUHUWIKO" na nilikuwa na swali kuhusu ujenzi wa matofari ya kuchoma, nyumba imependeza sana. Je ufundi huu wa kuyachoma haya matofari upo hapo nyumbani? Mimi wa Dar na ningependa sana kufahamu hii

Alex

MARKUS MPANGALA said...

samahanini nina swali; nauliza hiviiii wa jameneeeeeniiiii mie sijamyaka huyu binadamu

Koero Mkundi said...

Markus.....Ni Mwaipopo huyo...huoni sura ya Kinyakyusa hiyo wajameni?

chib said...

Markus alikuwa kasahau kuvaa miwani yake jamani, na bado anasheherekea Mpangala mwingine kuwa miss Tz. Msameheni bure tuuu

Anonymous said...

Sikujua ila sasa nimjua...salamu toka Kenya Da... kommer snart :))

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

mmmmh!

Simon Kitururu said...

Kwa kuiangalia picha ,...
Kirahisi naweza kusema aliyeko kwenye picha alikuwa anatazama kamera huku akiongea na anayempiga picha. Wala alikuwa hasomi kitu ingawa kunauwezekano zaidi ya kuongea na mpiga picha kuna kitu kingine alikuwa anasikiliza kama tukichukulia VISIKILIZIO masikioni vilikuwa vinateta mteto katika huo muda maridhawa.

Ni moja ya mtazamo tu!

John Mwaipopo said...

guys teh teh. nilikuwa mbali na internet. internet iliroga.
nami pia namfehemu mtu huyu. mimi ndiye niliyempiga picha hii. alikuwa akifanya vitu vitatu kwa wakati mmoja

mmoja: alikuwa akisikiliza wimbo wa mbilia bel uitwao 'phenomene'. anaupenda sana wimbo huu ukitka u-google alafu u-youtube

mbili: alikuwa ananisisitiza mimi mpiga picha nihakikishe anatoka na taswira iliyopo kwenye kompyuta inatoka sambamba.

tatu: alikuwa anamtakia hapibirthday ya siku ya kuzaliwa huyo blogger aliyepo kweye desktop ya kompyuta

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana wote kwa kutoacha kuacha kitu. Picha hii nimeipenda kwa vile Kaka John amekaa na kuangalia, kusoma au anataka kutoa maoni katika maisha na mafanikio nami nikaona maisha ya mafanikio ndani ya maisha na mafanikio.

Usiye na jina wa 14/9 saa 3:00PM au unajiita Alex. Ni kweli kabisa ufundi wa kuchoma hayo matofali upo hapa nyumbani. ukitaka kufahamu zaiodi wasiliana nami.

Mzee wa Changamoto said...

Asante kwa ALIYEMFUFUA Da Mdogo Koero
Asante Mwai wa Mwaipopo kwa kumchungulia Yasi wa Yasinta