Nimeipenda sana ila picha ya 1993 pamoja na background yake, sijui ilikuwa kiangazi? Ingawa hujabadilika sana hata baada ya kupata watoto wawili naona bado mwili una upa control nzuri, Hongera
Jamani hebu muandike kiswahili sanifu,msichanganye lugha mbili hapa{code mixing,code switching au alteration}. maana naona hata mistari ya lugha inatufanya tusiojua lugha hiyo tusijue au mna misamiati kidogo?
Sitanii hiyo picha ya awali inaonyesha binti amekolea,mwali,bi harusi,msichana hasa,amenawili,mwili unasumbua madume, hivi mumewahi kuiona picha za madonna akiwa kijana sana? basi nimeikumbuka picha hiyo. jamani nitaipataje? Dada Yasinta una kumbukumbu inayonikuna sana enzi unavaa skuna,vipi laizoni huku vaa? angalia sketi imefungwa vema,mkanda umeonyesha kiuno bila mfupa yaani kama dondora/nyigu. hakika uliwaha yani naona sasa umri unamaanisha kweli bado una nguvu sana. na kwakuwa unafanya mazoezi ya kukimbia basi naanimi utastawi kwa muda mrefu sana
7 comments:
Nimeipenda sana ila picha ya 1993 pamoja na background yake, sijui ilikuwa kiangazi?
Ingawa hujabadilika sana hata baada ya kupata watoto wawili naona bado mwili una upa control nzuri, Hongera
uhongise, kwa wasiojua maana yake asante kwa kibena
nami narudia Uhongise kwa picha nzuri sana.
sikú zote nisikiapo na kuona watawa,nakumbuka sana ndoto zangu za siku moja kuwa padre .na si tu padre bali mtyumishi wa wa jamii.
ila nilipofika semaira nikasoma maneno kuna walioitwa na waliochanguliwa
Jamani hebu muandike kiswahili sanifu,msichanganye lugha mbili hapa{code mixing,code switching au alteration}. maana naona hata mistari ya lugha inatufanya tusiojua lugha hiyo tusijue au mna misamiati kidogo?
Sitanii hiyo picha ya awali inaonyesha binti amekolea,mwali,bi harusi,msichana hasa,amenawili,mwili unasumbua madume, hivi mumewahi kuiona picha za madonna akiwa kijana sana? basi nimeikumbuka picha hiyo. jamani nitaipataje?
Dada Yasinta una kumbukumbu inayonikuna sana enzi unavaa skuna,vipi laizoni huku vaa? angalia sketi imefungwa vema,mkanda umeonyesha kiuno bila mfupa yaani kama dondora/nyigu. hakika uliwaha yani naona sasa umri unamaanisha kweli bado una nguvu sana. na kwakuwa unafanya mazoezi ya kukimbia basi naanimi utastawi kwa muda mrefu sana
Picha nzuri.Hujabadilika kumbe
picha nzuri sana
2008 naibebesha mzigo wa kura!!
Post a Comment