Katika maisha kuna vitu/mambo saba ambayo wote tunapaswa kuyajua... nayo ni kama yafuatayo :-Furaha, karaha, misukosuko, majonzi, migogoro, mikasa na chuki.
Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kiyashinda haya yatupasa tuwe na mambo nne(4) nayo ni:- Subira, uelewa, uvumilivu na msamaha. Lakini pia katika maisha yako uwe karibu sana na mambo haya manne :- msimamo, mkweli, ujasiri na Imani na halafu epuka sana mambo haya matano yafuatayo: Udanganyifu, uchoyo, ubinafsi, wizi na ufitina
WAZAO LA LEO:- Kumbuka kumjali anayekujali hata kama yupo mbali nawe. Mpende anayekupenda hata kama hana kitu jali utu kuliko kitu.
NAWATAKIENI SIKU NJEMA
No comments:
Post a Comment