Monday, December 13, 2010

TANZANIA- DR. REMMY MTORO ONGALA HATUNAYE TENA!!

Remmy Ongala [1947-2010]
Mwenyezi Mungu na aipokee roho ya Dr. Remmy Ongala na ailaze mahali pema peponi. Amina.



12 comments:

Simon Kitururu said...

R.I.P!

Born 2 Suffer said...

Wimbo wa kifo aloimba ni kweli na sasa kifo kimemchukua mola aweke roho yake mahala pema amin.

Eric Luanda said...

Sad, very sad......Mungu ameumba na Mungu amechukua, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina

EDNA said...

Mungu ailaze riho yake mahala pema peponi.

Yasinta Ngonyani said...

Sisi tulimpenda, lakini bwana amempenda zaidi. Pumzika kwa amani Mzee Ongala... ni msiba mkubwa kwa waTanzania.

John Mwaipopo said...

RIP dokta remmy.

kati ya nyimbo zake huwa sichoki kuusikiliza 'Karola'

kipande cha kwanza kinaenda hivi:

"Ukiwa mtenda mabaya
wewe mwenyewe haujijui
Ukiwa mtenda mabaya
kila siku unasema unaonewa
Ukiwa mtenda mabaya
huko unakokwenda ni pabaya
Ukiwa na roho mbaya eeh
kweli tutakuogopa
Ukiwa na pesa nyingi
usahau hata ndugu zako
kweli walimwengu hawana wema
Mola awape nini"

katika wimbo huu tumba, saxaphone na solo guitar la yeye mwenyewe huwa vinanikuna. hasa tumba.

Remmy Ongala katutangulia lakini nyuma kaacha kielelezo cha muziki wa dansi iliyo hai. Kifo chake kinathibitisha kutokomea muziki wa dansi na kushamiri huu wa "ubongo wa fleva"

hakika ni pengo

emu-three said...

Mungu ailaze roho yake pema peponi!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

RIP dokta remi

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

eti Mungu ailaze roho mahala pema peopni, unadhani kuna kusikokwema peponi??

Mija Shija Sayi said...

Ninachomshukuru Mungu amekufa akiwa ameokoka.

Kapumzike kwa amani.

Simon Kitururu said...

@Da Mija: Je angekufa MUISLAMU unafikiri isingekuwa poa zaidi?

Mija Shija Sayi said...

Kitururu hata waislamu wapo waliookoka, na usisahau ukristo sio kuokoka.

Bado nalifikiria swali lako kiundani lakini..

Ubarikiwe sana.