Thursday, December 23, 2010

KESHO 24/12 HAPA NDIO CHRITSMAS /JULAFTON!!

Napenda kuwatakieni wote Christmas njema. Ingawa kwa mimi naamini Christmas ni 25/12.Lakini sio mbaya kusherekea mara mbili. Haya sasa angalieni, kila mtu na bahati yako nimetumiwa jogoo huyu rasmi kutoka Kunyumba. Adoli doli adoli .... ila sijui nani atanisaidia kumchinja.Mmmmm, Kaaaazi kwelikweli. CHRISTMAS NJEMA SANA WAPENDWA.... PICHA ZAIDI ZINAKUJA

8 comments:

Simon Kitururu said...

X-mass njema kwako pia Kigoli!

Ila huyo jogoo labda anateseka hapo!

Unknown said...

Kirisimasi njema dada Yasinta. Wasalimie wanafamilia wote huko!

nyahbingi worrior. said...

dada,nimerudi tena.

emu-three said...

Siku-KUU njema, wewe na familia yako.

Mija Shija Sayi said...

Yasinta kwa visa? Huyo jogoo miye hoi, kwa kweli bonge la sanaa ya ufungaji wake.

Haya enjoy na familia tuko pamoja.

EDNA said...

Gud jul dada Yasinta.

mumyhery said...

xmass njema na kwako pia na kwa familia kwa ujumla

MRS said...

sikukuu njema dada,huyo jogoo ananikumbusha ukienda shamba unafungiwa zawadi na jogoo unapewa na unasukiwa kikapu.ubarikiwe sana kwa kutukumbusha kunyumba.