
Jamani nyumbani ni nyumani leo nimekumbuka kweli nyumbani yaani Tanzania. kama mlikuwa mmesahau maana ya rangi basi nawakumbusha:
1. Nyeusi - huonysha watu na Jamhuri ya Tanzania.
2. Kijani - huonyesha mimea na ardhi ya Tanzania
3. Njano - huonysha utajiri wa mali na asili
4. Bluu - huonyesha bahari inayoziunganisha sehemu za Jamhuri ya Muungano
Na; Yasinta Ngonyani
2 comments:
Nakupenda sana nchi yangu Tanzania.Rangi nzuri,mimea.mito.mabonde,ardhi,watu,na upendo wenye amani daima
Bendera nzuri.
Post a Comment