Wednesday, January 18, 2023

KHERI SANA YA MWAKA MPYA 2023

!
Ndugu zanguni wapendwa napenda kuwatakieni kheri sana kwa mwaka mpya 2023. Najua nimechelewa kidogo lakini salamu hazina kuchelewa natumaini wote mu-wazima waafya njema na mwaendelea na majukumu ya kila siku. Tuzidi kumwomba Mungu kwa wote anayotubariku. NAPENDA KUWATAKIENI AMANI NA UPENDO PIA FURAHA. nI MIMI KAPULYA WENU

No comments: