Friday, January 13, 2017

TANZANIA TUNA NGOMA NYINGI SANA ZA ASILI...UNAKUMBUKA NGOMA HII YA MHAMBO?

Nakumbuka wakati nikiwa nikisoma shule ya msingi tulikuwa tukicheza ngoma zote za asili MUHAMBO Γ­likuwa mojawapo. na mwalimu wa ngoma hii namkumbka sana, aliitwa mwalimu Ndumbalo "Moyoumo" ...yaaani nimekumbuka sana ....pia nimetamani kwa hiyo nimecheza cheza hapa....PANAPO MAJALIWA NA NITAKULETEENI NGOMA NYINGINE YA ASILI:-) MWISHO WA JUMA UWE MWEMA NA MWENYE FURAHA NA AMANI...Kapulya

No comments: