Hapo ni Makumbusho Dar es Salaam. Ila usiombe ukizuka moto nawe unaishi kwenye hiyo zana. Sikutokea kuzishabikia hizi nyumba. Nashukuru Mungukuwa sijawahi kuishi kwenye zana hii asilia. Hata hivyo, acha nikutakia mwaka mpya mwema dada. Mapishi yako sikutaka hata kuyagusia namna yalivyonitamanisha.
Kaka Mhango...kumbe ni makumbusho Dar?:-) Ahsante kwa ufahamisho. Nakuelewa mie ilikuwa siku moja nilinusurika kuteketea na moto.....AHSANTE SANA KWA KUNITAKIA MWAKA MPYA NAMI NACHUKUA FURSA HII NA KUSEMA NAWE NA FAMILIA MUWE NA MWAKA MPYA NA WENYE AMANI. MMMhhh kaka hukutaka kuonja mapishi yangu :-( hujanitendea haki
5 comments:
vema sana!!
Kaka raj! Ahsante kuyos mchango wako
Hapo ni Makumbusho Dar es Salaam. Ila usiombe ukizuka moto nawe unaishi kwenye hiyo zana. Sikutokea kuzishabikia hizi nyumba. Nashukuru Mungukuwa sijawahi kuishi kwenye zana hii asilia. Hata hivyo, acha nikutakia mwaka mpya mwema dada. Mapishi yako sikutaka hata kuyagusia namna yalivyonitamanisha.
Kaka Mhango...kumbe ni makumbusho Dar?:-) Ahsante kwa ufahamisho. Nakuelewa mie ilikuwa siku moja nilinusurika kuteketea na moto.....AHSANTE SANA KWA KUNITAKIA MWAKA MPYA NAMI NACHUKUA FURSA HII NA KUSEMA NAWE NA FAMILIA MUWE NA MWAKA MPYA NA WENYE AMANI.
MMMhhh kaka hukutaka kuonja mapishi yangu :-( hujanitendea haki
Dada nitaonja yajayo ya mwaka mpya au vipi?
Zikomo kwa mbiri.
Post a Comment