Mmea wa karanga punde utakapo kuvunwa
Karanga baada ya mavuno zimekauka tayari
Ulijua ya kuwa nchi ilimayo karanga ni CHINA? Basi Chini huta asilima 41,5% Na inayofuatia ni India na asilimia 18,2%. Kwa mabara ya Ulaya ni Ugiriki ambayo hutoa kwa wastani tani 2000 za karanga kwa mwaka.
Na inasemekana karanga chanzo chake ni Amerika kusini katika nchi ya Peru. Na kwamba karanga ambazo zipo leo sio za pori
Mmmmhh! mimi katika mawazo yangu nilifikiri karanga asili yake Afrika na zinalimwa zaidi Afrika. Ama kweli kujua kusoma naona furaha/kuperuzi peruzi...ni muhimu nikaona sio mbaya nikiwajuza na mwenzangu.
Chanzo:-ILLUSTRERAL VETENSKAP
No comments:
Post a Comment