Tuanza mwezi huu kwa kujiulizani lini nimewasiliana na baba, mama, babu, bibi, shangazi, mjomba, kaka, dada, mama mdogo, baba mdogo, mtoto, rafiki, mpenzi wangu au hata jirani yako. Kwa hiyo chukua nafasi na mtafute yule mliopoteana na mpeana mawili matatu....NAWATAKIENI IJUMAA NJEMA NA MWISHO MWEMA WA WIKI...
3 comments:
Nami nauliza Ray C kwa sasa yupo wapi?
Nilisikia yupo salama sasa labda anapumzika na kuimba ...
Da umenikumbusha nimeongea na mama yangu leo asante kwa kukumbushana dada.
Post a Comment