Hapa ni magunia ya mkaa kando ya barabara yanasubiri wateja/wanunuzi. Kwa namna hii ongezeko la ukataji miti ya asili kwa ajili ya mkaa linachangia sana uhalribifu wa mazingira sehemu nyingi nchini. Basi afadhali tungekuwa tunakata miti na kupanda tena....JUMATATU NJEMA.
8 comments:
@Yasii;
Ushauri wako utazingatiwa na wadau wote.
bonge ya lumbesa! kaka s
Kaka Ray! natumaini itakuwa hivyo maana miti ni muhimu bila mti hatuna uhai.
Kaka Sam! Lumbesa maana yake nini ,,,,,Kapulya!!!
HAPO NI KATA MTI PANDA MTI...ILI TUENDELEE KUFAIDI YOTE
Gesi imejaa ardhini na ingetosheleza nchi nzima, laki serikali ya mafisi haina uchungu na nchi!
YUP GOOD IDEA PIA TUKUMBUKE USAFI WA MAZINGIRA YANAYO TUZUNGUKA NI MUHIMU KWA AFYA ZETU NA KIVUTIO KWA MWONEKANNO WA MAZINGIRA MASAFI, Ningependa kuwanya wale watu wasio jua umuhimu wa utuzaji mazingira kama viwanda nimojawapo ya uchafuzi wa mazingira, Angalizo kwa wamiliki wa viwanda makampuni, bandari, masoko, maospitari, wawe mstari wa mbele kuboresha mazingira yanayo mzunguka mwanadamu usulani mtoto, mkubwa, mzee make wanaitaji kutunzwa. MKIZINGATIA HAYO, TANZANIA MAZINGIRA BORA HINAWEZEKANA KABISA SOTE TUITENGENEZE TANZANIA YETU,
I like hii.Kweli tunavuna miti iliyotunzwa na babab na babu zetu bila kupanda miti kwa ajili ya watoto na wajukuu
Me ningepend kujifunz zaid
Post a Comment