Thursday, August 25, 2011

PICHA ZA WIKI HII:- MAMA NA MWANA!!!


CAMILLA NA MAMA YAKE YASINTA (mwaka jana 2010 mwezi wa saba)




NA HAPA NI MALIA NA MAMA YAKE MICHELLE

Ni ujumbe tu mfupi ambao unaweza kukufanya utafakari kitu fulani....PAMOJA DAIMA!!!



14 comments:

isaackin said...

muda si mrefu camilla tutamchezea tumoghele

Yasinta Ngonyani said...

Mmmh! hapa nadhani ule ukapulya wangu unabidi ufanye kazi. Kaka Isaac "Muda si mrefu Camilla tutamchezea tumoghele" maana yake nini?

Rachel Siwa said...

Mme pendeza wenyewe dada,hongera umekuza mwanakwetu na Mungu asimamie makuzi ya watoto wetu, mwanangu Eric mmemtenga hapa jamani.ok nimepata jibu alikuwa Ziwani kutafuta kitoweo.

serina said...

Toppen!

emu-three said...

Shi-shi-shi..kamoooh! Nakuamkia kukuonyesha kuwa shikamoo zitakujia nyingi, maana `umama mkwe' lazima ujipendekeze....siunajua tena huku kwetu, wanakuwahi mapema...kwanza shikamoo...ukiziona hizo ni nyingi, jua ....lol. Hongera sana kwa kuwa na binto mremboo kama mama yake...TUPO PAMOJA

Yasinta Ngonyani said...

Rechal kwa mikwala wewe... Haya bwana ahsante ...Yaani nimecheka kweli Eti Erik alikuwa anatafuta kitoweo..kaazi kwelikweli..ila usisikitike sana bado siku yake:-)

Serina! Tack!

em3! nawe huachi visa. Jamani mbavu zangu mwenzenu... Kaaazi kwelikweli..Ahsante ndugu yangu pamoja Daima....

Anonymous said...

Leo,nilivyo amka,nikafungu,blog ya kwanza,nikakutana changamoto hii ya picha.kuangalia kama kuna mtu kasema chochote kulikuwa hakuna kitu.sasa narudi tena doh washaniwahi.Haya mmipendizi kwilikweli(huyo ni kaka yako bambo) nimejaribu kuangalia madumeyangu haya ya mbegu mawili niliyokuwa nayo,bado ni wadogo,nikajiangalia mimi mwenyewe,likanishuka,nikajaribu kuvaa' katakei' nionekane kijana wapi,basi umeshinda,labda kwa ushauri,fanya kamavile umekosea,Eriki akapata mdogowake chighafula, yaani awe wakike,aaaaaa yaani hapo nitakuwa nauhakika kupata mkwe. kaka s

John Fisher said...

I am happy for you Yasinta. You are a good mum and mentor. She will grow to be a wonderful and God fearing lady. God bless you mum!

John Fisher Kanene

John Fisher said...

Asante Yasinta kwa malezi bora na punde si punde tutafurahia matunda ya uzazi wako na malezi nadhifu.
We love you wonderful mum!
John Fisher Kanene

MARKUS MPANGALA said...

ha ha ha ha ha ha ha Camillaaaaaaa, acha tu nikitazama picha yako hapa pembeni kwenye kilongalonga changu nabaki kucheka, kwa raha tu. maana nimekupa shida kweli kukulazimisha kucheka si kazi ndogo. hakika mama kama mwana na mwana kama mama. kuna sifa moja kati ya Michelle na Yasinta wanafanana. Nayo ni mazoezi. jamani hawa wanawake wanakimbia mweeeeeeeeeee

isaackin said...

"tumoghele"nyimbo ya harusi ya watani zako wanyakyusa

raynjau njau said...

Zaburi 127:1-5
Wimbo wa Mipando. Wa Sulemani.
1 Yehova mwenyewe asipoijenga nyumba,
Ni bure kwamba wajenzi wake wameifanyia kazi ngumu.
Yehova mwenyewe asipolilinda jiji,
Ni bure kwamba mlinzi ameendelea kukaa macho.
2 Ni kazi ya bure kwamba ninyi mnaamka mapema,
Kwamba mnakaa mpaka kuchelewa,
Kwamba mnakula chakula kwa maumivu.
Hivi ndivyo anavyompa hata mpendwa wake usingizi.
3 Tazama! Wana ni urithi kutoka kwa Yehova;
Uzao wa tumbo ni thawabu.
4 Kama mishale mkononi mwa mwanamume mwenye nguvu,
Ndivyo walivyo wana wa ujanani.
5 Mwenye furaha ni mwanamume ambaye amelijaza podo lake na hao.
Hawataona aibu,
Kwa maana wataongea na adui langoni.

Unknown said...

Hongera kwa kulea dada Yasinta. Picha nzuri na mwanao. Kweli kabisa Tanzania, the warm heart of Africa...nimeipenda hiyoo:)

cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing obat cytotec