Tuesday, August 31, 2010

Huko mashuleni walimu wana kazi kubwa sana!!


Kaazi kwelikweli sijui ipitishwe sheria ya kwamba masomo yote yafundishwa kwa lugha zetu za asili kama vile kingoni, kisukuma, kibena kimatengo?? nk, nk. Katuni hii nimeipata gonga hapa kwa kusoma zaidi katuni nyingine. Nimeona tuufunge/tuumalize mwezi huu kwa hili. Walimu kwa kweli kazi mnayo.

3 comments:

emu-three said...

Ndio hapo utakapojua umuhimu wa `walimu' sijui lini hawa watu watajaliwa, na kuheshimiwa kutokana na kazi yao ilivyo na umuhimu katika jamii!

chib said...

ha ha haaaa, baada ya uchovu wa kazi, hii ni burudani tosha

Yasinta Ngonyani said...

emu-three! ulilosema ni kweli kabisa watu wanawadharau sana walimu wanasahau kuwa walimu ndio wazazi/walezi na ndio watuelimishao.
Chib:- nafurahi kama uchovu ulikutaka baada ya kazi.

Nawaza kwa sauti kwanini kusianzishwa kufundishwa watoto tangu chekechea hadi.....lugha zetu za asili na kiingereza na kiswahili viwe kama soma pia.? Kwa nini tuwafundishe watoto kiswahili wakati nyumbani wanaongea lugha ya asili? na kwa nini wafunzupo darasa la saba wanafundishwa kiingireza je unafikiri kweli mtoto/mwanafunzi hapo ataam,bua kitu kweli? ok nimewaza kwa sauti na hasira naacha...