Friday, April 30, 2010

Usifikiri kuwa na mikono ndio kuweza kila kitu +Angalia Maajabu haya!!

Je ungekuwa mimi au wewe unayeangalia hapa ungeweza/tungeweza. Kujiamnini ni kitu kizuri sana.

2 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

kila jambo linawezekana tukitaka!

Penina Simon said...

Ndio maana sisi wakristo huimba na kusifu 'MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU' sababu lile uonalo kwa mtazamo wako kuwa haliwezekani yeye huliwezesha.