Monday, March 2, 2009

JINSI YA KUPATA (TOAST) KUCHOMA MIKATE

Ukitaka kupata (toast) basi kazi ndio hii unahitaji jiko, mkaa na waya.

6 comments:

Unknown said...

Dada Yasinta,

Nilidhani samki tu ndio wanookwa hivi.
Huu ni ubunifu mzuri.
Ahsante kwa maarifa haya

Subi Nukta said...

Nimebeba chai ya rangi yenye tangawizi na iliki, naruhusiwa kukaribia?

Yasinta Ngonyani said...

Shabani, unajua kuna wakati unajikuta umebuni kitu. Hasa ukiwa kwenye sehemu ambayo ni ngumu kupatikana hicho kitu.

Subi, unakaribishwa sana kushiki nasi ila hiyo chai sitaki iwe na sukari nataka bila sukari(CHINGAMBU)

Anonymous said...

Asante Sister kwa kunitembelea karibu sana anytime toast unaipatia chai ya maziwa fresh asubuhi raha sana

Subi Nukta said...

Yasinta, tunafanana mengi, hilo la chai kutokuwa na sukari pia!

Yasinta Ngonyani said...

Mzee wa taratibu nawe karibu sana. Pia hiyo chai ya maziwa na toast nawe unakaribishwa wala usiogope kuna sukari ya wageni.

Subi, sikujua kuwa nawe hutumii sukari basi ukinitembea na nikukutembea mambo swali kabissa