Sunday, October 14, 2012

JUMAPILI NJEMA KWA WOTE!!!

Haya wapendwa, leo ngoja tutembelee kanisa hili, ni kanisa la MATOGORO SONGEA..nimesali sana kanisa hili...MWENYEZI MUNGU NA AWABARIKI WOTE na tuzidi kudumisha upendo.

5 comments:

Rachel Siwa said...

Iwe njema kwako na familia pia....dada yangu kipenzi!!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kachiki na naamini nawe upo salama na familia pia..

EDNA said...

Na kwako pia mdada.

Nicky Mwangoka said...

Hongera na Mungu azidi kutubariki. Mafanikio yetu yanachangiwa sana na nguvu za sala. Tusilegee katika hili dadangu.

Anonymous said...

Jamani nilisali hapo miaka mingi sana enzi hizo baba yangu alikuwa mwl.Songea boys. napenda sana hii blog coz inanikubusha those days nilipokuwa mtoto.